Habari za Hivi Punde

6/recent/ticker-posts

MVUA KUBWA YATARAJIIWA: TMA YATOA ONYO LA DHARURA


Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa onyo la mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha katika mikoa mbalimbali ya Tanzania. Tahadhari hii inahusu mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Kigoma, Tabora, Rukwa, Tanga, Morogoro, Pwani, Lindi, Mtwara, Dar-es-Salaam pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba. 


Wanaendelea kuwataka wananchi kujiandaa mapema, kuhakikisha miundombinu na mali zao ziko salama, na kuepuka hatari zinazoweza kutokea kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi.

Post a Comment

0 Comments