
Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la mvua na ngurumo kuanzia leo jumapili Aprili 19, 2026 usiku katika mikoa mbalimbali nchini.
Mikoa hiyo ni kutoka visiwa vya unguja na Pemba , Tanga na Dar es Salaam, kazikazini mwa mkoa wa Morogoro , Kilimanjaro, Arusha na Manyara na Pwani ( ikijumuisha Visiwa vya Mafia ) .
Mikoa mingine ni Mtwara , Lindi, Kusini mwa Mkoa wa Morogoro, Kigoma , Katavi, na Tabora, Kagera , Geita ,Mwanza , Shinyanga, Mara na Simiyu Dodoma na Singida.
Mikoa hii ijiandae kwa mvua usiku huu.
Mwisho.
0 Comments