Habari za Hivi Punde

6/recent/ticker-posts

MAPENZI YAGEUKA MACHUNGU: MUME ATIWА MBARONI KWA UKATILI.


Na marykitoto 

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemkamata na kumshikilia Magembe Tabu Makulilo, mkazi wa kijiji cha Mwanale wilayani Busega, kwa tuhuma za kumtendea ukatili mke wake. Tukio hilo limeibua maswali mapya kuhusu ongezeko la vitendo vya ukatili wa majumbani, huku wananchi wakitaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya wahusika.
Mwisho.

Post a Comment

0 Comments