Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amemteua Ummy Mwalimu kuwa Mshauri wa Rais wa Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto. Uteuzi huo umetangazwa na Ikulu na umewafanya wengi kumkumbuka mwanasiasa huyo aliyewahi kuhudumu katika nafasi mbalimbali za juu serikalini, ikiwemo Uwaziri wa Afya.
0 Comments