Habari za Hivi Punde

6/recent/ticker-posts

RASMI: Peter Msigwa AIHAMA CCM, AREJEA CHADEMA NA KUOMBA RADHI.







Mchungaji Peter Msigwa ametangaza kujiondoa rasmi CCM na kurejea CHADEMA baada ya kufuata taratibu zote za chama hicho. 


Pia ameomba radhi kwa wanachama wa CHADEMA walioumizwa na msimamo wake wa awali. 

Mwisho 

Post a Comment

0 Comments